1 Chronicles 11:23

23 aAlimuua Mmisri aliyekuwa na urefu kama dhiraa tano.
Dhiraa 5 ni sawa na mita 2.25.
Ingawa Mmisri alikuwa na mkuki kama mti wa mfumaji mkononi mwake, Benaya alimwendea na rungu. Akamnyangʼanya Mmisri mkuki wake na kumuua nao.
Copyright information for SwhNEN